Tunapenda pale ambapo watu maarufu wanatupa hint’s za vitu vyao vya kawaida kwa mfano mavazi, perfume, makeup etc. Wanatupa chance ya kugundua vitu vipya na kujua nini wanatumia na sisi tutumie.
Tumemuona Zuchu akiwa anajipulizia perfume huko mtandaoni na ikatufanya tuwe curious kujua ni perfume gani Zuchu anatumia, maana hajatuonyesha box wala jina la perfume hio.
Ikatubidi tuingie kwenye U-FBI na kutafutafuta ni perfume gani inaendana na anayoitumia, ambayo tumeiona ina karibiana na hii tunayoiona kwa Zuchu ni Gucci Bloom Promio Di Fiori
Perume hii inauzwa USD 155 sawa na Tsh 388,501.30.

Haya ndio maelezo kutoka katika website ya Gucci yakielezea zaidi kuhusu unyunyu huu.
Debuting within a visionary campaign set in a garden of dreams where magic blooms, Profumo di Fiori eau de parfum enters the world of Gucci Bloom. A radiant twist on the classic Gucci Bloom accord, Profumo di Fiori unleashes the addictive magnetism of Tuberose Essence, blended with Jasmine Sambac Closed Buds and Jasmine Sambac Absolute. The scent is enriched by Ylang Ylang’s intense floral warmth and sweetness, extended by rich notes of Sandalwood and Sun Drenched Woody notes. Driving an elegant and distinctive trail, the Orris Concrete blends with Benzoin’s resinous warmth and is softened by Musky notes.
- Eau de parfum
- Top notes of Jasmine Sambac Absolute
- Heart notes of Natural Tuberose, Jasmine bud extract and Ylang Ylang
- Base notes of Sandalwood accord, Sun Drenched Wood accord, Orris Concrete, Benzoin and Musks
- The scent is presented in a honey yellow lacquered glass bottle with the ribbed Gucci label framed in black. The outer packaging is decorated with the Herbarium print, a Toile de Jouy inspired motif featuring leaves, cherry branches, and flowers.
- 100ml
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…