Kwa sasa kinacho trend katika ulimwengu wa urembo ni hat’s watu maarufu na mafashionista wameonekana kuvalia aina hii ya kofia kuweka statement katika mitoko yao, tuliziona katika run way mbalimbali za wabunifu na sasa zimeonekana kutrend sana kwenye swala zima la fashion.
Hizi sio tu zile kofia za kawaida unahitaji moja ambayo ipo unique na kukufanya u-make statement, the cartwheel hat zinavaliwa upande na hizi zilianza kuonekana kuwa popular miaka ya 1910 lakini zimekuwa most closely associated with 1940s-50s fashion. Well we all know fashion zinakuja na kupotea
Beyonce amekuwa akionekana anazivaa sana yeye anapendelea kuvaa kofia hizi na full outfit, kwenye tour yake ya otr2 ameonekana kuzitumia sana lakini tulishamuona miezi michache nyuma katika tuzo za grammy’s akiwa amevalia kofia ya aina hii pia.
Lakini we spotted rapper Cardi B katika Paris Fahion Week na yeye amevalia hii kofia kama ambavyo Beyonce anapenda kuvaa na yeye alimatch kofia na gauni lake & oh boy cardi slayed our souls.
Muigizaji kutoka Ghana, Nana Akua Addo na yeye hakuwa nyuma katika kufuata trend hii yeye alionekana akiwa katika location ya photoshoot ambapo kama Beyonce na Cardi B na yeye alivaa matching dress na hii kofia, its called taking notes.
Fashion bloggers nao hawapo nyuma ambapo tuliwakilishwa na huyu blogger kutoka Florida, Kerry Ann Scott-Spence yeye nae akiwa amevaa kofia hii nyeusi na outfit nyeusi.
Well we can’t wait to see our Tanzanian slayers on this trend.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/you-only-need-a-cartwheel-hat-to-complete-your-outfit/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/you-only-need-a-cartwheel-hat-to-complete-your-outfit/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/you-only-need-a-cartwheel-hat-to-complete-your-outfit/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/you-only-need-a-cartwheel-hat-to-complete-your-outfit/ […]