Huondoa Harufu mbaya ya kinywa.
Tofauti na vyakula vingine kama kitunguu swaumu, tangawizi husaidia uwe na harufu nzuri pale unapopumua na kufanya maeneo ya mdomo kuwa safi.

Hamu Ya Kula (appetizer)

Huongeza hamu ya kula chakula. Kwa wale wenye mfumo mbaya wa umeng’enyaji wa chakula wanashauriwa kutumia tangawizi ili kupata mfumo mzuri wa mmeng’enyo wa chakula.
cup of ginger tea
cup of ginger tea

Kuyeyusha Mafuta

Tangawizi husaidia kupunguza Kuganda kwa mafuta mwilini ambayo yana madhara makubwa mwilini. Hasa magonjwa ya kiharusi na shinikizo la damu.
Kuondoa Sumu Mwilini
Tangawizi husaidia kupunguza kichefuchefu na kutapika. Pia huwasadia sana wale watu waliotumia sana madawa na kuwa na  sumu nyingi mwilini.
Husaidia Kupunguza Uzito/Mwili
kunywa kikombe cha chai ya Tangawizi ikiwa ime changanywa na limao itakusaidia kupunguza uzito pia tumbo.
Kuipa ngozi muonekano mzuri na nyororo
kutokana na vitamin zilizopo katika tangawizi zina weza kukusaidia kuipa ngozi yako muonekano mzuri na kuimarisha ngozi yako kuwa nyororo zaidi.

Comments

comments